mojawapo ya viota vilivyotamba sana enzi za mwalimu ni hiki cha motel agip barabara ya pamba rodi jijini dar. hata disco la clouds liliibukia hapo na ma DJ Emperor, Jesse Malongo, Bonny Luv na wengine. wadau wenye data zaidi msaada tutani
Can one provide more information about this Hotel? when and why it was closed. Who are the current owners? Kuna mtu anayeweza kutoa taarifa kuhusu hii hoteli? Lini na kwanini ilifungwa. Na mmiliki kwa sasa ni nani.
1 Comments
Can one provide more information about this Hotel? when and why it was closed. Who are the current owners?
ReplyDeleteKuna mtu anayeweza kutoa taarifa kuhusu hii hoteli? Lini na kwanini ilifungwa. Na mmiliki kwa sasa ni nani.