Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Singida wapiga sop sop maeneo yao

Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania tawi la Singida wakijumuika kwa pamoja kufanya usafi wa mazingira kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kusafisha maeneo mbali mbali yanayoizunguka jamii kila wiki ya mwisho ya mwezi.

Post a Comment

0 Comments