Maremehu Mama Agnes Nyamwiza ruhuza.
1/05/1927 - 02/05/2002
Mama, leo ni miaka 10 tangu ututoke ghafla.
Upendo wako na malezi yako mema kwetuyanatufanya tukuone bado upo nasi kiroho. unakumbukwa sana na baba yetu askofu Christopher Ruhuza,wanao, wakwe zako, wajukuu, vitukuu na wote waliopata malezi yako.
Pia unakumbukwa sana na ndugu, jamaa na marafiki wote.
upumzike kwa amani. AMEN
MISA YA KUMBUKUMBU INAFANYIKA LEO
JIONI MURUGINA, MABAWE NGARA
Ubarikiwe
Auncle Sam Ruhuza
0 Comments