Mkurugenzi wa kampuni ya Yara Mr. Alexandre Macedo (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ghala la kuhifadhi mbolea nchini Rwanda. Mr. Macedo ni msimamizi pia wa Yara Rwanda na Burundi ambapo hupata huduma zake za mbolea kupitia Tanzania
Afisa kilimo mwandamizi wa kampuni ya kuzalisha na kusambaza mbolea Yara Tanzania Ltd, Bw.Maulidi Mkima (katikati) akiwa shambani kwa mkulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya Furaha Ngala (kushoto) kwa ajili kukagua maendeleo ya zao hilo baada ya kutumia mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ mpangilio wa lisha linganifu kwenye viazi. Kulia ni bwana shamba msaidizi wa kampuni hiyo kutoka Mbeya Medson Joseph
Afisa kilimo wa kampuni ya uzalishai na usambazaji wa pembejeo za kilimo Yara Tanzania Ltd, Bw. Maulid Mkina kushoto akitoa elimu juu ya matumizi bora ya mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ kwa ajili ya viazi kwa wakulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya wa tatu ni mmiliki wa shamba hilo Bw.Furaha Ngala
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd wazalishaji na wasambazaji wa mbolea mbalimbali Bw. Maulid Mkima akiwa na mkulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya Bw. Furaha alipotembelea shambani kwake na kuona matokea ya zao hilo baada ya kutumia mbolea aina ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ.
0 Comments